Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa KIjiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, JOhn alitoweka nyumbani.
Source:udakuzi
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment