Featured

    Featured Posts

FULL KUKOMESHANA Mitandaoni Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy


Kweli mafahari wakigombana nyasi ndio uumia!Picha za manamuziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandaoni usiku wa kumakia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingereza kuwa wanaelekea siku ya Valentine"Road to Valentine"........
Zilizuwa timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia"Project hii"na wale wa Wema a.k.a TeamWema walikuwa akiponda na kumshambulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa nywele wema.Hii ilipelekea watu kutuypiana maneno makali na mazito yanayoweza kukufanya msomaji upofuke macho
Baada ya mvutano mrefu kuhusu picha hizo za Diamond na Zari,Ikatupiwa picha hiyo ya Wema akiwa na Dimpoz,haipo tena moto ukawaka wale wa mashabiki wa Diamond wakaanza kuponda huku TeamWema wakisifi,,,,Mwisho wa siku watu wakaamua kuzileta pamoja ili watu waseme bila ushabiki kuwa ipi project ya ukweli na ipi feki.....

Nami nikaona nizilete hapa kwenu,ila sio kushindanisha bali upate kuziona na kukupa ubuyu wa kile kinachoendelea kuhusiana na picha za mafahari hawa wawili wenye mashabiki wengi zaidi hapa bongo.

Jamani mshabiki acheni kutukanana huko mtandaoni,mbona wenyewe hawatukanani

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana