Kweli Mziki unalipa sana ,msanii wa kizazi kipya Hamis Mwijuma (Mwna FA) aonyesha jeuri ya fedha.Mwana FA asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanayotumia matajiri wakubwa,Ona Picha ya chini,nadhani mwana FA anajibu Mtanzania genius aliyepanda bizness class.
Post a Comment