Mmiliki wa Official Website (Boss Ngasa TZ) kupitia account yake
ya Instagram ameandika kuhusiana na kuzagaa kwa Picha zinazo muonyesha
yeye na marehemu wengine (Matei. Joshua na Chiddy Nyau) ....... Boss
Ngasa amekanusha Taarifa zinazodai amefariki Dunia Baada ya Ajali mbaya
walioipata Juzi na Kupoteza uhai wa Rafiki zake wawili Matei na Joshua.
Post a Comment