Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akiweka shada kwenye kaburi la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Monduli Juu.Mke wa Sokoine na binti yake (amabaye ni mgombea ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine) wakiweka shada kwenye kaburi hilo.Magufuli akicheza ngoma ya kabila la Kimasai.
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment