KINACHOENDELEA TANGA NI ATHARI YA KUWEPO KWA MAKUNDI YASIYO RASMI NA YANAYO TOA MAFUNZO YA KIVITA NA KIGAIDI. WIKI KADHAA ZILIZOPOTA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA FREE MAN MBOWE ALITANGAZA KUZINDUA MAFUNZO YA WAPIGANAJI WA RED BRIGADE WAPATAO 200 KWA AJIRI YA KIJIFUNZA KARATE NA WENGINE WENGI KWA AJIRI YA MAFUNZO YA KAWAIDA. YOTE IKIWA NI KWA KISINGIZIO CHA KULINDA CHAMA NA KULINDA KURA ZA UCHAGUZI MKUU HAPO OKTOBA MWAKA HUU. MADHARA YA KUWEPO MAKUNDI HAYA YANAYOPATA MAFUNZO YASIYORATIBIWA KIWANGO CHAKE NA VYOMBO VYA USALAMA NDIYO YANAYOLETA HALI YA SIMTOFAHAMU NCHINI.
TU JIULIZE KWANIN BAADA YA MAFUNZO YA RED BRIGADE NA MATAMKO YENYE VITISHO TOKA CHADEMA NDO HALI YA USALAMA IYUMBE KIASI HIKI,,? SERIKALI MNA JUKUMU LA KUFANYA KUHAKIKISHA NCHI YETU IPO MIKONONI MWA AMANI.
Post a Comment