hii kali, hebu assume sheria kama hii ikipitishwa
katika nchi yetu nzuri ya Tanzania, au East Africa
kwa ujumla. halafu fursa ndo itolewe kwa
wanandoa ya kupiga kura kwa kupitishwa kwa
sheria hiyo, hivi wew kwa mtazamo wako unazani
hali itakuaje kwa nchi yako? je wanandoa watapiga
kura ya ndio?
Post a Comment