Featured

    Featured Posts

BABA WA P-SQUARE AZIKWA BAADA YA KUFARIKI MIEZI MIWILI ILIYOPITA! TAZAMA PICHA HAPA

MzeeMoses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.

 

Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.

 

Hizi ni picha za safari ya mwisho ya MzeeMoses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.

 

 

 

 

 

Peter na Paul Okoye.

 

 

 

Peter na kaka yake Jude Okoye.

 

 

 
 

 

Kulikua na ulinzi pia

 

 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana