Msafara wa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rudenge umepata ajali katka eneo la Msavu barabara ya Morogoro Iringa majira ya saa tisa alasiri.
Katika ajali hiyo Meya wa Manispaa ya Morogoro Amily Nondo na mwaandishi wa habari wa ITV wamejeruhiwa vibaya na wanaendelea na matibabu katika hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Wengine walio jeruhiwa katika ajali hii ni pamoja na Dereva wa Meya na mwandishi wa habari wa Tbc.
Post a Comment