Kibaka aliyetaka kuiba taa za gari akiwa amefungwa kamba sambamba na vifaa vyake vya uhalifu.
Kibaka huyo akiwa chini ya ulinzi.
KIJANA mmoja anayedaiwa kuwa kibaka ambaye hakufahamika jina lake mara moja jana amepokea kichapo kutoka kwa wananchi baada ya kudaiwa kutaka kupora taa za gari la mwananchi mmoja maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam jana.
Post a Comment