Basi la abiria aina ya Toyota Coaster likiwa limepinduka baada ya kuigonga treni.
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.
Basi la abiria aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T 932 AFU linalofanya safari zake kati ya Nanenane na Ng'ong'ona mkoani Dodoma limepata ajali leo baada ya kuligonga treni na kupinduka maeneo ya Benki Kuu mkoani humo.
Baadhi ya abiria waliokuwa kwenye Coaster wamepata majeraha madogo huku wengi wao wakiwa salama.
Post a Comment