Mama ntile ambaye anapika vyakula vyake katika moja ya maeneo maarufu nchi Nigeria anayejulikana kama Mama T ameingia kwenye matatizo na kuambulia kipigo kikali January 2 mwaka huu baada ya kukiri kutumia mkojo wake wakati wa kupika chagula ambacho amekuwa akikuza katika maeneo ndani ya jiji la Lagos.
Kwa mujibu wa ripoti, mwanamke huyu aliwahi kushutumiwa kuwa ni mchawi baada ya kukamatwa na wasamaria wema akijaribu kuumua kijana mdogo kwa njia za kishirikina lakini hakufanikiwa.
Siku ya tukio hilo kijana huyo alikuwa akitakiwa kuuwawa na mwanamke huyo alikuwa akioga ndipo alimwona panya mdgo ndipo alipochukua kipanda cha mbao na kumpiga nacho lakini alipo mpiga nacho ghafla alianza kubadilika na kuongezeka ukubwa na kuwa binadamu na kupotea tena lakini alibakisha ndala zake pale.

Ndipo aliposhikwa tena akiwapiga chakula kwa kutumia mkojo wake na kuuza, jambo hili nalo lina husishwa na mambo ya kichawi, alikiri kufanya hivyo baada ya kuambulia kipigo kikali sana.
Post a Comment