Penzi lilipo baina ya Dj wa msanii Diamond Platnumz, Romeo Jones na Tuerny ambaye anafanana sana na Wema Sepetu ni la wazi sana na imefikia hatua hata wao wenyewe kuachia picha zao wakiwa sehemu za faraga na hata zile za screen saver kama alichofanya Romeo kuweka picha ya mpenzi wake na kupost kwenye social networker.
Picha yao iliyovuja wakiwa chumbani iko hapa chini
Post a Comment