Featured

    Featured Posts

MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR


Mmoja kati ya majambazi waliokamatwa akiwa amelala chini baada ya kujeruhiwa na polisi.
...Jambazi huyo akiwa katika gari la polisi.
Polisi wakiwa katika tukio hilo.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio hilo.
Majambazi wamekamatwa Darajani Zanzibar jana baada ya kufyatuliana risasi na polisi wakati wakijaribu kukimbia. Katika tukio hilo wananchi kadhaa waliruhiwa kwa kugongwa na gari katika harakati za majambazi hayo kukimbia. Polisi imewatia mbaroni majambazi watatu baada ya wananchi kutoa ushirikiano. 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana