#Repost @ citikingzlifestyle ・・・ UDAKU NMEKULETEA FULL REPORT YA MAPESA AMBAYO DIAMOND AMESPEND NA MPENZ WAKE MPYA ZARI NA CREW NZIMA HUKO ZENJI UNAAMBIWA NI ZAID YA 15 MILLIONS AMBAYO NI SAWA NA MOVIE KALI SANAAA YA BONGOMOVIE ILIOJAZA MASTAA WATUPU, SOMA KAMA IFUATAVYO, NANAKUU REPORT HII KAMA ILIVO ANDIKWA NA SHUHUDA KINGZLIFESTYLE diamondplatnumz when I tell u he is a billionea this is how billionea treat her woman $1,000 room chumba cha 1,800,000 ye na the amazing zarithebosslady at znz so alikuwa na watu kama 6 hv kwa haraka haraka Mmanyema hapa kwa siku3 katumia bajet ya Movie hot kabisa ya Bongomovie uspanick kwani bongomovie si ikizidi SANA ni m15 kifesi kaangusha room ya
1,000,0000 romyjons 1,000,0000 na wale wengine c chini ya lak5 per person a night I know znz it's so expensive so kihalaka halaka per day na Crew nzima c chini ya 4,5m to 5m na mpaka jana alikua bado yupo so siku 3 ni 15m c MOVIE hiyo kiwanja bunju, brevis or makx mpyaaa Yaani unaweza jinunulia Alteza na demu wako ukamnunulia Passo kodi ya miaka mitatu nyumba kali kabisa cnza,mbezi,knyama Watu wameenda kula kadance Znz Unaweza ukasema ujinga coz we ujana wako ukuwa na nafasi na ujapata nafasi Na autopata COZ ujitumii kama mwenzio this is life! He c a millioni kama hela ya kula COZ he work hard (Ooooh angenunua kiwanja blahbblahlah) Atujaja duniani kujenga majumba tu na raha pia ni Lazima kwa binadamu We unazani watu kama Bakhresa wangenunua hivyo viwanja vya lak7saba kuna ardhi ingebaki? Wanasize zao izo lavel wametuachia sisi so usinune Kijana anaishi maisha anayofanana nayo COZ kama anaweza tengeneza $20,000 masaa3 kwanini asitumie $9,000 siku3! Maramojamoja cio mbaya ni maisha unapokua kijana na ukapata mkwanja mrefu unafanya moyo wako unavyotaka Work hard he is 25 n he live is dream Kijana unatakiwa uishi kama uavyotaka cio wazazi or marafiki wanavyotaka Unalipa bills zako unamuogopa nani sasa!? Usiyoyajua He is the first artists to fly private jet in TZ for a show First artist kucharge $20,000 for a show out of tz First artist selfmade Billionea in TZ MWISHO WA NUKUU
Post a Comment