Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria.
Diamond ameandika hivi;
A pre Rehearsal for the Glo-CAf Awards....Ndugu zangu kijana wenu niko hapa salama kabisa, na leo nlianza hatua za Mwanzo za Kulikagua Jukwaa.....kauli yetu mbiu ni moja tu "Afe Dancer afe Msanii, lakini Shangwe Lazima..!"

Post a Comment