Featured

    Featured Posts

BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUKATAA HANA BIFU NA DAVIDO....DAVIDO KAMPAKIJEMBE TENA CHEKI HAPA


Baada ya Diamond Platnumz kukanusha kuwa hakukuwa na bifu baina yake na Davido lakini kwenye Twitter limeibuka lingine na moja kwa moja likiwa linamlenga Diamond.

Kutoka kwenye akaunti ya Twitter ya msanii Davido kutoka Nigeria ametweet maneno yanaonyesha kufedheheshwa na tabia ya Diamond Platnumz na alichokiandika hiki hapa chini 
"Niggas forget who helped them ..... So quick .... God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO U DON HELP IDIOT!"
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!"
Ushahidi wa picha huu hapa chini:-
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana