Featured

    Featured Posts

SOMA ALICHOKIANDIKA MSANII JOSE CHAMELIONE KUHUSU IDRIS WA BBA TOKA TANZANIA!


Love ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea kujidhihirisha ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone amekuwa moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha love kubwa kwa kutoa support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya Jumba la Big Brother

Africana kufanikiwa kuingia fainali pamoja na washiriki wengine 7 ambapo inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa nane tu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana