Kuwa na mpenzi ni kitu cha kawaida katika maisha ya mtu mzima na pengine kila mtu mzima hapa labda anampenzi wake, ila linapokuja swala la mapenzi ya mtu maarufu katika jamaii, akiwa na mpenzi na wakiamua jamii itambue hiyo lazima iwe story.
Msanii mwenye vipaji vya kucheza filamu na kuimba muziki, Hemmed Seleman aka Hemmed PHD, kupitia mitandaoni amekuwa akitupia picha za akiwa na mrembo huyu wakiwa katika mapozi ya kimahaba zaidi na kuandika maneno yakaashiria kwa wo ni wapenzi. Picha hapo juu zinaonge.
Nimastaa wachache sana hapa Tanzania ambao wanaweka wazi wapenzi waoili jamii iwatambue.Hongera sana HEMMEDY PHD na tunawatakia kila la kheri kwenye mapenzi yenu.
Post a Comment