Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo…., nae bila hiyana alipoulizwa “Will you marry me” hakusita kusema “I do” Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinasema Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS…
Post a Comment