Mtandao
wa TMZ umeripoti kwamba mtoto huyu wa miaka 16 wa hiphop staa wa kitambo
duniani, Lil Wyne….. Reginae Carter anaweza kuweka stika kwenye gari
lake aina ya BMW alilozawadia ikisoma >>> ‘gari langu jingine ni Ferrari‘
Sherehe
ya kutimiza kwake miaka 16 ilifanyika Atlanta Marekani ikiambatana na
tamasha dogo ambalo Nicki Minaj aliimba “Moment 4 Life” na “Flawless
(Remix) kwenye stage na kushuhudiwa na baadhi ya mastaa akiwemo T.I,
Tiny, Kandi Burruss, Fantasia na Jacob Latimore.
Post a Comment