Modo ambaye pia anafanya muziki na
ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi
wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema
akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei
kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na
mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi
Post a Comment