Featured

    Featured Posts

AUNTY EZEKIEL AJIBU KIIVI BAADA YA KUULIZWA KUHUSU DIAMOND NA ZARI PAMOJA NA UJAUZITO



Aunty
Kwenye U Heard ya jana Decemba 01 2014 Gossip Cop Soudy Brown ameongea na mwigizaji Aunt Ezekiel kuhusu ishu mbili tofauti ambapo ya kwanza ni kuhusu rafiki yake Wema kama amewahi kumwambia chanzo cha kuachana na Diamond.
Ishu ya pili ni Diamond kuonekana na Zari kwenye Tuzo za Channel O Afrika Kusini siku ya Jumamosi, Aunt Ezekiel amesema hajui chochote kuhusiana na masuala hayo na kusema hawezi kuzungumzia masuala ya mtu binafsi
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana