Featured

    Featured Posts

BARUA RASMI YA SITTI MTEMVU KUJIVUA U MISS TANZANIA 2014

Sitti Mtemvu 2014 kajivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam.

Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
Hapo mwanzo alikua anashutumiwa Kwamba amegushi vyeti na umri ili ashide umiss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye huu u Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu . Hata hivyo alikanusha habari hizo kwamba sio za kweli ambapo hata Hashimu Lundenga alithibitisha kwamba hajagushi umri Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana