Featured

    Featured Posts

BBA:MSHIRIKI WA KIKE WA TANZANIA (LAVEDA) ANASWA NA KAMERA AKIPIGA PULI (AKIJICHUA)....IDRISA AINGILIA KATI


Leo ni siku ya 20 tangu Big Brother Africa ya Mwaka huu ianze. Naamini kwa wale wanaoifuatilia wanaburudika vya kutosha na mambo yanayotendeka ndani ya jumba hilo.
Ni Shindano ambalo halikuanzishwa kwa lengo la kuenzi mila na desturi za kiafrika, bali lilianzishwa kwa lengo moja tu la kutoa burudani ya kutosha ambayo mwisho wa siku itawawezesha waanzilishi kujipatia pesa.

Turudi kwenye pointi yetu, kama ilivyo kawaida ya siku ya Ijumaa ndani ya jumba hilo, usiku wa kuamkia leo washiriki walikuwa wakiparty pamoja kwa kucheza na kunywa.

Baada ya burudani hiyo iliyosimamiwa vilivyo na Dj Izzy toka Botswana, dada yetu Laveda ambaye anaiwakilisha Tanzania katika jumba hilo alitoka na kuelekea kitandani.

Akiwa na mzuka wa kutosha, Laveda alijifunika shuka na kuanza kujichua( kupiga puli) pole pole.

Mtu wa kwanza kumshuhuda Laveda "akili PULINETI" ni mwana dada Mam Bea ambaye alistushwa na mnong'ono wa sauti za mahaba .

Ndipo mrembo huyo alipotoka na kuwajuza wenzake ambao hata hivyo hawakuonekana kumjali kwani "Pini" lilikuwa bado linaendelea!

Mam Bea aliendelea kuueneza umbea huo, hali iliyomfanya Idris( mshiriki wa kiume wa Tanzania) apandwe na hasira akitaka suala hilo liachwe kujadiliwa.

"Acheni Ujinga bana, mna ajenda gani,? Nini kigeni? Ntapiga mtu mimi!," Alifoka Idris akiwataka washiriki wenzake waliache suala hilo.

Hasira za Idris zilifanikiwa kudhibitiwa na Mr. 265 ambaye alimshika na kumsihi apunguze hasira.
" Yaishe mtu wangu, Hasira za nini kamanda? Achana nao!," alisikika Mr. 265 akimsihi Idris.

Ni ukweli usiopingika kuwa Idris ni mzalendo wa kweli na anaipenda Tanzania na ndo maana alipandwa na hasira baada ya kuona Laveda anazongwa zongwa.

Mangapi yanafanyika mle ndani? Watu wanaoga pamoja, tena uchi wa mnyama?

Eti leo hii mwenzao kaamua kupiga punyeto kupunguza hamu wanaanza kumsengenya!!? Hiyo sio haki. Safi sana Idris kwa kumtetea Mshiriki mwenzako na mtanzania mwenzako.

Laveda ni mtu mzima, ana hisia kama binadamu wengine. Pamoja na yote, bado ni mtu ambaye kimaadili anaongoza ndani ya jumba hilo. Kama huamini, tazama video za washiriki wanapokuwa bafuni uone ni jinsi gani anaoga.

Leo ni siku ya 20, nakuhakikishia hutaona video hata moja ikiyaanika maziwa yake hadharani. Ni mtu ambaye huoga na nguo tofauti kabisa na washiriki wengine.

Kesho jumapili, Mshiriki mmoja au wawili watayaaga mashindano hayo. Laveda ni miongoni mwa watu walioko hatarini kutolewa kesho.


Kura yako inahitajika sana kumfanya asitoke. Kuwa mzalendo, mpigie kura mtanzania mwenzako.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana