Featured

    Featured Posts

MWILI WA MAREHEMU JOHN WALKER WAAGWA LEO KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

jeneza la marehemu Michael Dennis
Mhina 'John Walker'  Dar es Salaam wakati wa ibada
iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili. (Picha na Francis
Dande)
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi,
(kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis
Mhina 'John Walker'  Dar es Salaam wakati wa ibada
iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili.
Baadhi ya waombelezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye
mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya
marehemu, Michael Dennis Mhina 'John Walker' kwa ya
kuusafirisha kwa maziko mkoani Tanga, Dar es Salaam.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa msanii wa muziki
wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina 'John Walker'.
Wasanii wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza
lililokuwa na mwili wa msanii wa Bongo Fleva marehemu
John Walker.
Wengi waishindwa kujizuia wakati wa kutoa heshima za
mwisho.
Heshima za mwisho.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana