Featured

    Featured Posts

Magufuli aifumua Muhimbili

04-IMG_7712
Amng’oa mkurugenzi mkuu, avunja bodi
*Asononeshwa wagonjwa kulala chini

RAIS John Magufuli, amemng’oa Kaimu Mkurugenzi wa Hopitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Hussen Kindato pamoja na kuvunja bodi ya wakurugenzi wa hospitali hiyo.
Hatua hiyo ameichukua jana baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo, ambapo alipofika alikagua maeneo yote, kutembelea wodi na kushuhudia idadi kubwa ya wagonjwa wakiwa wamelala chini kwa kukosa vitanda.
Taarifa...
Rais John Magufuli jana alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ambako alishuhudia utoaji mbovu wa huduma na kuchukua hatua ya kuvunja Bodi ya Wakurugenzi ya hospitali hiyo na kumuondoa Kaimu Mkurugenzi wake, Dk Hussein Kidanto.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana