R.I.P Legendary Mkandala Rufufu
Tumepokea kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Ndugu Mkandala Rufufu,aliyejipatia umaarufu mkubwa wa kutafsiri movie za kizungu na Kihindi kwa sauti ya Kiswahili na Vionjo vya kihaya
Tunamwomba Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi !
Post a Comment