Siku chache zilizopoita kuna habari zilisambaa zikizungumzia ndugu Reginald Mengi kuhama kambi (tembelea - Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa) Leo hii Reginald Mengi ameita vyombo vya habari kukanusha habari hiyo na kutoa tamko kama lilivyoainishwa hapa chini CHANZO : JAMII FORAM
Post a Comment