Featured

    Featured Posts

VIDEO: DUNIA INA MAMBO..MAITI YAGOMA KUSAFIRISHWA!

REPOSTED Kwa aombi maalumu! 
Jiji la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya lilishuhudia tukio la kushangaza baada ya maiti iliyokuwa inasafirishwa kwa maziko kukataa safari hiyo. 
 
Kizaazaa kilizuka pale gari lililokuwa limelibeba jeneza lenye mwili wa marehemu kupata hitilafu na licha ya kubadilishwa gari jingine, nalo pia lilikataa kuwaka.

Hapo ndipo marafiki na jamaa ya marehemu walipochukua fursa ya kuirai maiti hiyo ili ipate kufikishwa eneo la maziko. 
 
Baada ya maombi ya takribani saa moja kutoka kwa ndugu na jamaa wa marehemu kuiomba maiti hiyo ikubali kusafirishwa, hatimaye safari ilianza na kuacha maswali mengi yasiyo na majibu kwa mashuhuda wa tukio hilo.
Shuhudia video hiyo hapa...
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana