Filed Under:
UDAKU
on
Tuesday, 23 June 2015Unknown
Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ameshare picha hii akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE "La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hii
Post a Comment