Featured

    Featured Posts

HAYA HAPA MAAMUZI YA MAHAKAMA KUHUSU KESI YA MBUNGE SUGU DHIDI YA MKEWE...

Sugu 1 

Ni habari ambayo imeandikwa na gazeti la Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaamkuhusu kesi iliyokua imefunguliwa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi kuhusu mke wake wa zamani.

Taarifa inasema Mahakama ya Manzese imeamuru Mbunge Joseph Mbilinyi akabidhiwe mtoto wao kutokana na kesi aliyoifungua dhidi ya mke wake huyu akidai anamuharibu mtoto.

Hii habari imekuja siku kadhaa tu baada ya TUZO ZA KILI 2015 ambapo mke huyu wa zamani aliingia kwenye headlines kutokana na vazi alilokuwa amevaa.

sugu 3
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana