Hata hivyo muda huu taarifa zilizotufikia ni kwamba Mpaka sasa Gwajima ameshakamatwa na apo awali alikuwa amejifungia Ndani na Polisi walishindwa kuingia Ndani Kwa ajili ya Kumkamata lakini ni kwamba wameshamkamata.
Na kwa sasa Askofu Josephat Gwajima amefikiishwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam
Post a Comment