Featured

    Featured Posts

WACHUMBA WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA SIKU YA VALENTINE:


Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.Tukio hilo ambalo lilikusanya mamia kwa maelufu ya ndgu na wageni waalikwa imekuwa kali ya mwaka ambapo jeneza kubwa lilokuwa limepambwa kwa rangi ya pinki lilowekewa mto mkubwa kisha maharusi kungia ndani na kulala chali kisha kila mmoja kubeba ua.

Baada ya kulala chali wazee wawili wa kimila waliovaa nguo za rangi ya Chungwa wanawafunika na shuka nyeupe kisha nyimbo za kimila huimbwa na vigelegele kuendelea kama kawaida.

Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

Wazee wa kimila wakiendelea na shughuli.


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana