Keki ya sherehe ilivyokuwa.
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’, usiku wa kuamkia leo alifanya sherehe ya kuzaliwa kwake na baadhi ya jamaa na marafiki aliowaalika katika Hoteli ya Regence Mikocheni jijini Dar ees Salaam
The latest News, Gossip, Photos, Videos and all the information you need are here.
Post a Comment