Featured

    Featured Posts

ALLY KIBA KULIPUA BOMU LINGINE KESHO IJUMAA TAREHE 27.02.2015...FATILIA HAPA


Hit Maker wa Mwana ALI KIBA amesema kuwa ngoma yake Chekecha-CheketuaItakuwa kali kuliko Mwana ambayo imefanya na Bado inafanya poa sana Afrika Mashariki.
Akipiga Stori na Kipindi cha DUNDO cha Mambo Jambo Radio Ali Kiba amepata kuyafunguka Hayo wakati akiwaweka sawa Mashabiki wake Maana halisi ya alichokiimba na kuwapanga Kuipokea Ngoma yake ambayo Inatoka Rasmi tar. 27 February Hii ngoma ambayo imefanywa Chini ya Studio za Chedaz Records na Producer Abby Daddy anaamini ni ngoma itayobamba zaidi kwani ana uhakika na mawe ambayo tayari ashayaweka kwenye manati tayari kwa ajili ya watu wake so mkae tayari.
Amesema Inatoka Audio kwanza then video itakuja soon..
HIZI NI COVER ZA NGOMA HIYO

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana