Zaidi ya nyumba 13 katika kitongoji cha Mwalukonge wilaya ya Busega Mkoani Simiyu zimechomwa moto na watu wasiojulikana na kusababisha baadhi ya wakazi kukimbia makazi yao kwa kuhofia usalama wao.
Polisi wameanzisha msako mkali kuwatafuta watu waliohusika na janga hilo.
Post a Comment