Baadhi ya Watangazaji na wafanyakazi wa EFM wakitambulishana siku ya Valentine Day ndani ya Ukumbi wa Msasani Beach Club.
Mtangazaji wa EFM Ssebo akiongoe jambo na mashabiki waliokuwa ndani ya ukumbi wa Msasani Beach Club.
DJ Majey akisababisha burudani kwenye shoo ya Valentine Day iliyokuwa ikifanyika katika Ukumbi wa Msasani Beach Club Kawe.
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the Boss akiimba katika shoo iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini Dar, siku ya Valentine Day.
Waigizaji wa kipindi cha Mahusiano cha Clouds TV, Mwinjaku na Recho wakipozi ndani ya ukumbi wa Escape one siku ya Wapendanao.
Msanii wa Bongo Fleva Snura Mushi akiimba ndani ya ukumbi wa Msasani Beach Club , katika shoo ya Valentine Day.
Recho akitoa burudani ndani ya Ukumbi wa Msasani Beach Club Kawe jijini Dar es Salaam.
Post a Comment