BENDI ya Malaika Music inayomilikiwa na prezidaa wa masauti, Christian Bella 'Obama' imefungua pazia la burudani ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live karita Usiku wa Wapendanao 'Valentine day' leo hii.
MALAIKA BAND WAFUNGUA PAZIA LA BURUDANI VALENTINE DAY, DAR LIVE

Post a Comment