Mwanamuziki gwiji, Madonna akiwa ameanguka jukwaani usiku wa jana katika tuzo za Uingereza
Wakati akimalizia malizia kuimba wimbo Living For Love,
ghafla Madonna akashindwa kuikusanya miguu yake na kuporomoka chini wakati akipishana na dansa wake katika ngazi za jukwaa la ukumbia wa London's 02 Arena.
ghafla Madonna akashindwa kuikusanya miguu yake na kuporomoka chini wakati akipishana na dansa wake katika ngazi za jukwaa la ukumbia wa London's 02 Arena.
Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 56 alishituka baada ya kuanguka na kuacha kuimba kwa muda, lakini akajikusanya kusanya na kuinuka kisha kuendelea na shoo yake hadi mwisho
Post a Comment