Featured

    Featured Posts

Jionee Jinsi Mkorogo wa Kuchubua Ngozi Jinsi ulivyomfanya Huyu Mwanaume

Mwanaume huyu anayeitwa Pela Tonye Okiemute ni Maarufu sana huku Nigeria kwa kazi yake anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya Kujichubua ngozi hasa kwa wanawake,wenyewe wanamwita "King of Beuty", 
 Wateja wake wakubwa ni wasanii wakubwa na wanawake wanaojiita Socialite kama Kina Agnes Masogane,Vera Sidika nk yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa sasa uwezi kumtambua,pale ameshare picha zake alivyokuwa zamani jinsi mkorogo ulivyombadilisha;

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana