Hii ilitokea hapo jana wakati wa sherehe hizo zilizo kuwa zikihitimishwa kwa kuchaguliwa kwa mwana soka wa mwaka 2014.Thiery Henry alikuwa ndiye mchezaji mwalikwa aliye alikwa kutoa tuzo hiyo ya heshima hapo jana.Wachunguzi wa maswala ya mpira wana hisi labda alijisikia vibaya kwa yeye kama mchezaji bora kwa wakati wake hakupewa tuzo hiyo,au labda ni mshabiki wa Messi
soma baadhi ya matusi aliyotukanwa huko twitter
Post a Comment