Tangu awe waziri mpaka anafukuzwa jimbo lake linashika nafasi ya 4 kwa migogoro ya ardhi.pamoja na hayo Anna Tibaijuka anamilika heka takribani 200 peke yake wakati huo kuna wananchi wake hawana hata heka 1.jimbo lake ni kati ya majimbo 15 maskini zaidi tanzania
alitumia cheo chake cha uwaziri wa nyumba na makazi kupora ardhi za wananchi huko mureba,tarime,manyara n.k kisha kujimilikisha yeye na fisi wenzake pamoja na wawekezaji.
alitumia cheo chake cha uwaziri wa nyumba na makazi kupora ardhi za wananchi huko mureba,tarime,manyara n.k kisha kujimilikisha yeye na fisi wenzake pamoja na wawekezaji.
alikuwa akifika jimboni kwake anapandisha vioo vya gari yake aina ya toyota V8 huku vio hivyo vikiwa vimepigwa tinted full kiyoyozi ndani.ilikuwa ni mwiko kwake kuonana na wananchi wenye matatizo ama mahitaji yoyote na hilo alimuonya hadi katibu wake.
Leo hii anajifanya msamalia baada ya fisi wenzake kumugeuka,anataka kujifanya amekuwa rafiki na mbuzi.pia anataka kuwapa mbuzi mbinu za kupambana na fisi wenzake hakika dunia imekwisha.
fisi ni fisi tu,kuendelea kumfuga tibaijuka aendelee kuwa mbunge ni sawa na kufuga ngunguru.mamahuyu hafai ata kuwa mjumbe wa nyumba 10 ni mnafiki kupitiliza
ebu angalia kejeli zake hapa,anatembea pekupeku kutafuta huruma kwa wapiga kura wake lakinisafari hii imekula kwake
Post a Comment