Ajali imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda Kaskazini. Ajali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Dereva wa gari dogo baada ya kutoka salama.
Post a Comment