Utata umeibuka baada ya sister wa Kanisa
Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia
maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na
kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika
Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.
Sister huyo mwenye umri wa miaka 31 yupo
kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara
Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia
maumivu makali ya tumbo baadaye alianguka,
madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya
kumfikisha Labour alijifungua.
Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani
ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha
usafi wa moyo na utii.
Post a Comment