Featured

    Featured Posts

ROSE NDAUKA AKATAA KUMSAMEHE MZAZI MWENZAKE


DIVA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa ya rohoni kwamba hatokaa amsamehe mzazi mwenziye, Malick Bandawe.
Akizungumza na Amani, Ndauka alisema alishawahi kufuatwa na mzazi mwenzake huyo kwa lengo la kumuomba msamaha ili waendelee na mapenzi yao lakini hakuwa tayari kumsamehe.
“Kuachana tumeshaachana, kama kurudi huwa inatokea lakini kwangu sipo tayari tena kumsamehe, anaweza kutokea mtu mwingine wa kunipenda ingawa kwa sasa nahitaji kupumzika kwanza,” alisema Rose.
Rose na mzazi mwenzake waliachana mwaka jana huku wakificha sababu za kuachana kwao.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana