Featured

    Featured Posts

KOLETA SASA NIPO TAYARI KUZAA BILA NDOA

Msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’.
KUTOKANA na umri kumtupa mkono, msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutengua kauli aliyowahi kuitoa kwamba hawezi kuzaa nje ya ndoa na kusema kwa sasa yupo tayari kufanya hivyo muda wowote.
Akistorisha na Amani, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa akitamani kuitwa mama na amesubiri ndoa bila mafanikio.
“Umri unakwenda nami nahitaji kuitwa mama hivyo nikipata ujauzito nazaa kwani cha muhimu zaidi ni mtoto halafu kama Mungu amenipangia kuwa na ndoa itakuja baadaye,”  alisema Koleta.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana