Featured

    Featured Posts

Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri... Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara!



Ikulu imeitisha mkutano wa ghafla na waandishi wa habari muda huu na mkutano huo utaanza ndani ya nusu saa kuanzia sasa. Taarifa zinasema ni kwamba mkutano huu umeitishwa ili kutangaza mabadiliko madogo ya mawaziri na mawaziri hawa wanapaswa kuapishwa kesho kabla ya Rais Kikwete kuondoka kwenda Davos Uswisi kesho hiyo hiyo jioni.


UPDATES:
Katibu Mkuu kiongozi anasoma majina ya mawaziri


Walio teuliwa

Mawaziri
George Simbachawene – Waziri wa Nishati na Madini
Mary Nagu- Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Mahusiano na Uratibu
Christopher Chiza- Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji
Harrison Mwakyembe- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
William Lukuvi- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Steven Wasira- Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Samuel Sitta- Waziri wa Uchukuzi
Jenista Muhagama- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge
Manaibu Waziri
Stephen Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu Rais- Muungano
Angela Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu - Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Anne Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Charles Mwaijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana