Duuh Hayo sio Maneno yangu Jamani , Gazeti la visa limeandika katika ukurasa wa mbele maneno hayo kama inavyoonyesha
Limeandika
"Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond
akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na
atakuwa Maalum 2015,
Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"![](//2.bp.blogspot.com/-76qC3nTNpPM/VLiqDvwJ7oI/AAAAAAAADVs/F5syRRrRCQs/s1600/lowasa3.jpg)
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment