Featured

    Featured Posts

VIDEO: CHISTIANO RONALDO NI SHIIIIDAAA! ACHONGEWA SANAMU HUKO KWAO

Nabii huyu hakubaliki kwao tu, Dunia nzima inamkubali na inampa heshima kubwa kwenye soka.

Madeira ni kisiwa kizuri na kikubwa ukiwa Ureno, lakini stori ikufikie kwamba kisiwa hicho kina umaarufu wa vitu viwili tu vikubwa; kwanza ni mvinyo, cha pili niCristiano Ronaldo. 

Wamefanya kitu kikubwa kumuenzi staa huyo wa soka, jumapili ya December 21 kumezinduliwa sanamu kubwa la mchezaji huyo katika kisiwa hicho.
Tazama video ya tukio Zima hapa>


Tukio zima la uzinduzi wa sanamu hiyo hili hapa katika video.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © 2025 DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana